Golden Elimeleck
Member
- Mar 22, 2021
- 62
- 47
380k ipo mfuko wa shati hapa mkuu.Nauza Portable Dell laptop π»
Specifications
Generation:10
Internal storage:1000Gb(1tb)
Ram:4
Processor:2.5GHZ
Condition :Used like new /nimetumia kwa mwaka mmoja nilinunua 700,000Tsh
BEI:Nauza kwa Ofa Tsh 500,000
Location: Muhimbili ,Dar Es Salaam
Contacts:+255743649012
View attachment 3043164View attachment 3043165
Iko makini , chaji masaa ma4 inatunza,ruksa kuitest uwezo wa kutunza chajiIna changamoto yoyote? Inatunza moto kwa muda gani?
mkulu senkondo ukiiona mwenyewe utaridhika nauza kwa Ofa tu ......Top 450k mkuuNakusikiliza mkuu. Ofa yangu ipo Mezani.