KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

AFANDE POA POA

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
101
Reaction score
111
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
 
Achana nayo mkuu kwanza wale wana watu wao tayali
 
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
Au ujaona za uhamiaji zilivyofanyika hii nchi ni chukua chako mapema
 
Huu mfumo Hadi kero yaani watu wananitafuta utadhani dhahabu kuwasaidia ,hawajui me mwenyewe nimeishia kufungua account kufetch matokeo inashindikana

Mungu asimame watu tumalize viporo tutimize azima ya maombi
 
Shida ya serikali kupitia wazara nyingi sijui huwa wanabajeti gani upande wa server zao.Yani mkifungua kwa mkupuo zinazidiwa.
Ila wakiambiwa wekeni pesa wanunue server wao wanataka kununua ma V8.
 
Back
Top Bottom