AFANDE POA POA
Senior Member
- Oct 12, 2015
- 101
- 111
Achana nayo mkuu kwanza wale wana watu wao tayaliHabari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
Au ujaona za uhamiaji zilivyofanyika hii nchi ni chukua chako mapemaHabari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
Daah tunaumia tusio na ndugu kwenye vyombo hiviAu ujaona za uhamiaji zilivyofanyika hii nchi ni chukua chako mapema