darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Kaka Kuna Lc300 Zinacheza Kwenye 400 Huko🤣Kitu cha M8 cha kujikingia mvua? Hizo dharau
Hahahahahahaaaa Nimecheka SanaNi vema mleta mada umetambuo huo ni mwamvuli.
Maslahi Boss Wangu, Kwa Iyo 5 Yako Ninayo Suzuki Swift Kali Sana Namba D Haina Changamoto,.Nicheki +255 747 999 927 Nikutumie PichaKula 5 chap
Wanaomilik hizo wachacheKaka Kuna Lc300 Zinacheza Kwenye 400 Huko🤣
Sasa ndo aitwe gari kifaa cha kujikinga na jua 😭Mbaga Jr gari unqyo lakini? Na Binti wa zamani nioneshe gari yako pm
Huyu jamaa ana dharau sana kwa kweli sema ngoja nijikamue ninunue hata hakoSasa ndo aitwe gari kifaa cha kujikinga na jua 😭
Nikishakuonyesha, halafu inakuwaje sasa 😅Mbaga Jr gari unqyo lakini? Na Binti wa zamani nioneshe gari yako pm
Anyway 🙂, acha tu sio lazima 🥴Nikishakuonyesha, halafu inakuwaje sasa 😅