Hapo kwenye magoli wamezidiwa Na kamati ya ufundi ya ureno
Game inaendeleaNimepiga bonge ya ukulele hahahahahahhaaa mpira unamidadi mibaya sana daah
Boonge la shutiii hahahahahhaa
France ndo basi tena daah
Nliwaambia leo hatoki huyoNimepiga bonge ya ukulele hahahahahahhaaa mpira unamidadi mibaya sana daah
Boonge la shutiii hahahahahhaa
France ndo basi tena daah
Baadae ya lini?Ntaludi baadae hali hii haivumiliki
Goli litaludi hapa matutasafiiii
Ureno waleeNani kasema kuna kitu kama Best looser haha pogba kula kadi kwanza
mungu kawaona na wao mwaka huu maana 2004 walifanyiwa hv hv nA ugiriki na hakuna aliyeamini kilichotokea pale urenoKimatani tani tu mtu kalibeba kombe
Pole, kifo chenu harusi yetuThis is football. 🙂🙂
Walikua hawataki kuelewaHaaa haaa hahaaa nilisema tunawafumua hapo hapo kwao bila cr7
Team fort Jesus
Na sisi kubeba ndoo4 minutes to go.