Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Timu ya Taifa ya Ufaransa ni ya ajabu sana. Mashabiki weupe harafu wachezaji weusi tii

= halafu

Na wewe ni wa ajabu sana, Kiswahili ni lugha yako ya taifa na hata kukiandika vizuri kinakupiga chenga.
 
Kumbe Ronaldo ana mbavu eeeh nilikuwa sijui mmmhh .........
 
Ndo ubaya wa kujiamini...walipoifunga german walijipa kichwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…