Inauma ushabiki woote French anafungwa nyumban
YoroooooTeam ureno piga keleleeee
USA babyYeah shangilieni wazungu muwakatie na viuno kabisa!
Hapless Miafrika!
HahahaKumbe Ronaldo ana mbavu eeeh nilikuwa sijui mmmhh .........
Wamepaniq wafaransa
USA baby
Leo umechagua vibaya
Eeh ndo kamtukana mkubwaBest loser!
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Yeah shangilieni wazungu muwakatie na viuno kabisa!
Hapless Miafrika!
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Kubali umefungwa tuu
2 minute added time
98' world cup nlilia ureno haikufanya vizuri, mwaka huu nkajua udongo ule ule wa 98 ' utanipa furahaHahahaaaa mi wala si mnazi wa Ureno wala Ufaransa kivile.
We are togethef in this one.Am so happy, always in support for Ronaldo
Wasiwasi wangu maracist wa Ufaransa wanaweza kuanza kulaumu kushindwa kwao kutokana na timu kuwa na wachezaji wengi weusi.