- ukabila upo, na culture zipo zinazuia hayo mambo. labda hofu yao ni kwamba binti yao atadharaurika, wanadhani anaolewa na familia nzima?
ahahahahahahaha....inawezekana wazazi waliogopa mtoto wao asije akatobolewa sikioosidai ni kaka yako?
na wewe unaitwa osi nini?????lol
Poleni.
Si wake huyo, atafute mwingine.
Pole mwaya, mtoto wa kitanga kakupagawishi mpaka basi Loh! Huambiwi wala husiki kwa mtoto wa ki Tanga... Ebu lilia Hali kwa mama mkwe huenda akakuelewa akaongea na baba mkwe anzaa pole pole usikurupuke.....