View attachment mabano_tz-20190109-0001.mp4Yani lazima uende motoni kwa kuto mtendea haki
#bamia_ndefunene
Sio umbo, amespecilize kujadili mroso tu.Inaonesha watu wake wakaribu wanapata tabu sana,,akikaa nao hana story nyingine zaidi ya umbo lake,,,
Kwani hilo umbo limemjia gafla hakua nalo,,mana naona kama anaona geni kwake,,
Hii hpaAweke picha yake ya 10 years challenge tusaminishe before and after(mchaina)
Tuanzie hapo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaAweke picha yake ya 10 years challenge tusaminishe before and after(mchaina)
Tuanzie hapo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
OnaHahahaa
Nimeona Instagram imepambwa kwa picha zake tu
Watu hawaamini kama ni yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhuuuu
sio hatupendani,huwa mnatunyima raha sie wenye maumbo namba1 sasa ikija gundulika msambwanda fake lazma tusemeWanao tokwa na mapovu ni wanawake, wanawake kweli hampendani....
Na huyu je ni mchina?
Mm msichana flat screen halafu awe na mguu wa bia, hapo atanilaza nje nikimwinda....sio hatupendani,huwa mnatunyima raha sie wenye maumbo namba1 sasa ikija gundulika msambwanda fake lazma tuseme
Uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 20 wa kukutana na hawa viumbe ni kua wanawake wa dizaini hizi (wenye makalio / hipsi kubwa, wenye sura nzuri sana, wenye umaarufu) asilimia kubwa kitandani hua ni SIFURI!! Nafikiri hili ni tatizo la kisaikolojia kwani wengi wenye sifa hizo hua hawaoni umuhimu wa kufanya chochote cha ziada kitandani wakiamini kwamba sura/shepu/umaarufu wao unatosha. Ndio maana watu hua wanawamega na kuwaacha kwani ukishaingia nae chumbani lazima utaishia KUJILAUMU tu kwa kupoteza nguvu, muda na pesa zako kumfuatilia na hutatamani kuendelea kuwa nae labda kama unataka kuuza sura tu.
miguu ikiwa kama chelewa🙈🙈🙈🙈Mm msichana flat screen halafu awe na mguu wa bia, hapo atanilaza nje nikimwinda....
Duuh hilo lisura kama sufuria unasema demu mkali? Zaidi ya hayo mahips sijaona kitu.Mjomba huyu dem ni mkali,tuseme ukwel...mi nikilala na huyu dem naweza nisiamke asubuh maana ntazimia kila bao nalopiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja you nailed it.Uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 20 wa kukutana na hawa viumbe ni kua wanawake wa dizaini hizi (wenye makalio / hipsi kubwa, wenye sura nzuri sana, wenye umaarufu) asilimia kubwa kitandani hua ni SIFURI!! Nafikiri hili ni tatizo la kisaikolojia kwani wengi wenye sifa hizo hua hawaoni umuhimu wa kufanya chochote cha ziada kitandani wakiamini kwamba sura/shepu/umaarufu wao unatosha. Ndio maana watu hua wanawamega na kuwaacha kwani ukishaingia nae chumbani lazima utaishia KUJILAUMU tu kwa kupoteza nguvu, muda na pesa zako kumfuatilia na hutatamani kuendelea kuwa nae labda kama unataka kuuza sura tu.
Mihips inawapa watu kiburiNaunga mkono hoja you nailed it.