Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Huu uzi nimekuta jamaa ana komaa uko juu oooh shape karithi kwa mama na picha kaeka
Watu wame zama #chimbo wame leta zile pics OG kabla hajawa na shape watu wame kimbia uzi
.
.
Ogopa sana teknologia by Mutahaba
Sent using Jamii Forums mobile app
wallah kama huyu ni mama ake huyu mtoto ntakuwa namjua wallah namkumbuka huyo mama alikuwa anakaa mbeya forest mpya uwiiiiii huyo mama anabalaa mtoto anasubiri
Yes alikuwa hivi kabisa,niliibiwa cm niliyopiga nae picha,hapo alikuwa na kashep kazuri tu lkn,sio hv kuna namna hapaHuenda na mm nkapata huu muujiza...kama posh alikuwa ivo now ana zigo la kuvunja chaga..View attachment 998759
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mwenyewe hajionei huruma maana siku mavitu aliyoyaweka yakianza kuleta athari tutatafutana humu maana kipindi cha nyuma hakuaga hivyo alikua flat flat hivi
Hapana,nawafaham wote,wala hakua hivoo! Ndo ana kashape kazuri tu kawaida ila sio hivo!Wewe huyu dem unamjua?huo mkundu amerithi kutoka kwa mama yake.
View attachment 980008
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli wapo waliorithi!Hapa umemaliza fitna na uzushi wa kibongo bongo!formula ukiona vitu fake basi jua original vipo!
Mimi mwenyewe nina cousin wangu ana vigezo vya sheikh kipozeo hatar nae karithi kwa aunt yetu amabe nae karith kwa bibi yetu !
Ila kama ujuavyo kibongo bongo hawakubaliani na majaaliwa ya mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkundu wa huyo mama na wa mama yako sawa?weka picha!
Huo mkundu umeona ulipotokea origin yake kwao sio tatizo.hips kuongezeka sijui kujibinua km mobeto hizo swaga.hata identical twins wenyewe wanatofautiana.Muhimu huo mkundu huyo malaya amerithi kwa mama.Au ulitaka huyo mama awe wewe au ndio uwe poshqueen???wacha kubisha bisha kila kitu.nyambaaafuuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio original...uyu manz tangu kwa mujibu had chuo mwaka wa pili hakua na hyo shape...
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Wakuu huyu dem hyo shepu ni asili yake..ni rafiki wa mdogo wangu wa kike,..hyos shape ni yake kweli ila alichofanya ni kutumia mikanda ya kutoa tumbo na kuchonga kiuno
Dogo anasema huyo hana raha maana misos yake anayopiga ni mateso tuu,..na hali menu nyingi anakula kdogo sana sabab tumbo limekua dogo sana sabab ya hyo mikanda
Sent using Jamii Forums mobile app