Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Shinda hizo tamaa ulizo nazo vinginevyo hutadumu hapo kazini. Fanya kazi kwa uaminifu na ridhika na mshahara wako. Marupurupu ni neno linalotumika badala ya wizi, ubadhirifu na udokozi maeneo ya kazi. Futa neno marupurupu kwenye ubongo wako. Pia ACHA TAMAAWakuu nimepata ajira ya kuuza hardware dar kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware huwa inamarupu rupu?
Kuwa makini kijana usije ukaenda jela kizembe.Mliojibu swali wote hamjielewi, rudieni kusoma swali then mjibu uzi kazi kukurupuka tu