Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware (costruction material)

Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware (costruction material)

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.

Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?
 
Mkuu kazi kuwa na marupurupu ni suala la wewe na mwajiri wako namna mlivyozungumza wakati mnakubaliana ajira.

Lakini unapoomba kazi cha muhimu zaidi kuzingatia ni mshahara, huo ndio muhimu. Ukikosea kubargain mshahara basi utafanya kazi kimawenge mawenge na unaweza kuwa mwizi hapo kazini.

Ridhika na mshahara uliouomba, maana kazi umeikubali kwa hiyari yako na huenda uliomba kabisa wewe mwenyewe.
 
Posho ni tajiri akijichanganya tu unamuongezea mzigo mteja,then unamalizana nae bila tajiri kujua

Usipofanya hivyo tarajia posho ya buku 3 jioni siku ya kazi ikishakamilika
 
Posho ni tajiri akijichanganya tu unamuongezea mzigo mteja,then unamalizana nae bila tajiri kujua

Usipofanya hivyo tarajia posho ya buku 3 jioni siku ya kazi ikishakamilika
Maana yake awe mwizi ama
Sasa akijulikana akatimuliwa, utasema ajali kazini eti
Utapeli hautufikishi mahali popote boss
 
Vijana mna tabu Sana. Mnatafuta kazi au vibarua kwa tabu lakini mkishapata na mkaingia makubaliano hamridhiki mnapata tamaa badala yake mnawaza kuwaibia waajiri wenu
 
Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware dar kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware huwa inamarupu rupu?
Kaka utachoka ww sema inategemea kama boss hatokuepo basi unyama ni mwingi sema usiwe tu na tamaa mwanetu ww chakufanya kila kifaa utakacho uza unaongeza dusco tu mfa ndoo rangi silk inauzwa 17000 lita 20 inategemea na campuni ya rangi sasa ww ukiuza na 180000 mwisho 175000 siombaya unaweza ukajikuta posho inazid mshahara mzee maana kama ni laki tatu kwa mwez inamaana kila siku unalipwa red sasa kwa ganji za hapa na pale unaweza ukajikuta unarud na 30 au zaid kwa kila day
 
Vijana mna tabu Sana. Mnatafuta kazi au vibarua kwa tabu lakini mkishapata na mkaingia makubaliano hamridhiki mnapata tamaa badala yake mnawaza kuwaibia waajiri wenu
Hamna bro muajir atakiwi kuibiwa kinacho fanyika ni kujiongeza kipitia bidhaa za muajiri wako ni hilo tu
 
Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.

Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?
Mkuu kama kuna kazi kama hiyo mahali me nahitaji Sana hata bila marupurupu mshahara Tu unatosha 0788282455
 
Posho jilipe ukiuza misumari nusu we sema umeuza robo vilivyobaki vyote ukileta ujanja ujanja anakushtukia maana vitu vingi vya hardware vinafahamika kwa idadi

Lakini hukumu ya mwizi ni kukatwa mkono
 
Back
Top Bottom