Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Maana yake awe mwizi amaPosho ni tajiri akijichanganya tu unamuongezea mzigo mteja,then unamalizana nae bila tajiri kujua
Usipofanya hivyo tarajia posho ya buku 3 jioni siku ya kazi ikishakamilika
SawaMaana yake awe mwizi ama
Sasa akijulikana akatimuliwa, utasema ajali kazini eti
Utapeli hautufikishi mahali popote boss
Kaka utachoka ww sema inategemea kama boss hatokuepo basi unyama ni mwingi sema usiwe tu na tamaa mwanetu ww chakufanya kila kifaa utakacho uza unaongeza dusco tu mfa ndoo rangi silk inauzwa 17000 lita 20 inategemea na campuni ya rangi sasa ww ukiuza na 180000 mwisho 175000 siombaya unaweza ukajikuta posho inazid mshahara mzee maana kama ni laki tatu kwa mwez inamaana kila siku unalipwa red sasa kwa ganji za hapa na pale unaweza ukajikuta unarud na 30 au zaid kwa kila dayWakuu nimepata ajira ya kuuza hardware dar kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware huwa inamarupu rupu?
Hamna bro muajir atakiwi kuibiwa kinacho fanyika ni kujiongeza kipitia bidhaa za muajiri wako ni hilo tuVijana mna tabu Sana. Mnatafuta kazi au vibarua kwa tabu lakini mkishapata na mkaingia makubaliano hamridhiki mnapata tamaa badala yake mnawaza kuwaibia waajiri wenu
Mkuu kama kuna kazi kama hiyo mahali me nahitaji Sana hata bila marupurupu mshahara Tu unatosha 0788282455Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi.
Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?