The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,249 Aug 22, 2011 #1 wandugu naomba kufaham mchanganuo wa pesa inayolipwa bodi,make nasikia ya meals and accomodation huwa hairudishwi HESLB,nawasilisha
wandugu naomba kufaham mchanganuo wa pesa inayolipwa bodi,make nasikia ya meals and accomodation huwa hairudishwi HESLB,nawasilisha
S suanet Member Joined Apr 16, 2011 Posts 7 Reaction score 1 Aug 22, 2011 #2 jiulize kwanza kama ni ruzuku au ni mkopo. kama ruzuku haulipi ila kama ni mkopo lazima uzilejeshe mkuu.
jiulize kwanza kama ni ruzuku au ni mkopo. kama ruzuku haulipi ila kama ni mkopo lazima uzilejeshe mkuu.