tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
Kwa wale waliosimamia mtihani wa taifa kidato cha pili 2012 au wadau wengine wowote wa mtihani huu, naomba tujulishane mchanganuo wa posho ya usimamizi, semina na nauli kwa wasimamizi wakuu na wasaidizi.
huku kwetu bado kitendawili DEO haeleweki.
huku kwetu bado kitendawili DEO haeleweki.