Posho ya usimamizi FTSEE-2012.

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
434
Reaction score
115
Kwa wale waliosimamia mtihani wa taifa kidato cha pili 2012 au wadau wengine wowote wa mtihani huu, naomba tujulishane mchanganuo wa posho ya usimamizi, semina na nauli kwa wasimamizi wakuu na wasaidizi.
huku kwetu bado kitendawili DEO haeleweki.
 
DEO anadai hajapata mchanganuo rasmi kutoka tamisemi, kwa sasa kaamua kutoa elfu 20 mara siku 5 kwa wasimamizi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…