Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

Posho za kuandikisha sensa 2022 zipoje?

Lastmost

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2022
Posts
802
Reaction score
919
Wakuu,salaam,.
Hii ya kuhesabu sensa nasikia Ina hela ya kusogeza maisha.

Natamani kujua ni kama Tsh. ngapi kwa kazi nzima ili nichangamkie au nipotezee.
Hela naitamani ila ndio sijajua kama hii shuguli inalipa.

Kwa mliowahi kuifanya, naomba dokezo tuu ni kama Tsh. ngapi kwa zoezi zima?
 
Inakuwa ni August right...?

Ina maana wafanyakazi watapewa likizo fupi au wanahesabiwa huko huko kwenye vituo vyao vya kazi...?
 
Back
Top Bottom