Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
hii connection sijui nianzie wapi?? aiseeDodoso refu 700k
Dodoso fupi 400k
Dodoso refu semina 2 weeks
Kiongozi
Dodoso fupi 1 week
Per day 30000 tsh
Ntafute diwani wa eneo lako au afisa mtendaji wa kata umemalizahii connection sijui nianzie wapi?? aisee
Umeona hakuna Mambo ya connection kila kitu mfumo sasaivihii connection sijui nianzie wapi?? aisee
Hii ilikuwa tz nzima na hatukulipwaMwanza kubandika number ili sh 700 kila nyumba kazi izo za kitumwa
YapoUm
Umeona hakuna Mambo ya connection kila kitu mfumo sasaivi
Connection inatoka wapi wakati unajisajili kwenye hiyo website yaoYapo
Interview yake inasimamiwa na watu na siyo mfumo. Hivyo swala la vimemo, kamlete, nitumie vyeti vyako na connection hayakwepekiConnection inatoka wapi wakati unajisajili kwenye hiyo website yao
Bila kusahau sex corruptionInterview yake inasimamiwa na watu na siyo mfumo. Hivyo swala la vimemo, kamlete, nitumie vyeti vyako na connection hayakwepeki
Sidhani kama wataruhusu hili la konekisheni [emoji23][emoji23] wanajua lililotekea kwenye uandikishaji wa makaziTafuta koneksheni tu, mengine utayajua huko ndani
700 kila nyumba ukipiga nyumba 60 per day shs ngpHii ilikuwa tz nzima na hatukulipwa
Kuna interview tena?Interview yake inasimamiwa na watu na siyo mfumo. Hivyo swala la vimemo, kamlete, nitumie vyeti vyako na connection hayakwepeki
Unawajua wanaosimamia uchaguzi na mchanganuo wa watu ?Connection inatoka wapi wakati unajisajili kwenye hiyo website yao
Siwajui mkuu Hebu nijuze ni akina nani hao nicheze nao mapemaUnawajua wanaosimamia uchaguzi na mchanganuo wa watu ?
dodoso fup na dodoso lefu yote anfanya mtu mmHapanadodoso fup na dodoso lefu yote anfanya mtu mmoja?
Diploma/degree dodoso refu
Form4/certificate dodoso fupi
2012 hiyo..siijui kwa sasa