Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

Kwakua ni posho kwa mechi hiyo hela ni kubwa na inatosha na kuhusu vifaa hakuna mwamuzi anayejinunulia filimbi, kinendera wala jezi zao kila kitu kinatoka kwa mdhamini.
 
Ndogo?? Wakati ni zaidi ya mshahara wa mwalimu kabisa huo!!!
 
Inatosha sana. Kwanza mechi inawasaidia na wao kufanya MAZOEZI YA MWILI. Ile kukimbia kimbia dakika 90 ni booonge la zoezi
 
Unayeiona hiyo 300,000/= au 350,000/= kwa dakika 90 au 120 ni ndogo hauko sahihi.

hiyo pesa baadhi yenu hamuifikii hata kwa mwezi mzima, ila mkiwa nyuma ya keyboard mnaona si kitu. Waamuzi kwa mechi moja hawapungui wanne.

Wengina mnataka wapewe posho kubwa ili kuondoa hongo kwa waamuzi. Kukataa au kupokea rushwa inategemea hekima na misingi ya mtu na si kwa kuwa anapata kingi au kidogo.
 
Ivyo vifaa wanapewa mzee baba alafu mwamuzi sio kama mchezaji ambae mpira ni kazi yake, mwamuzi anaweza akawa na mishe zake nje ya soka kwaiyo anaenda kuchezesha game siku atakayohitajika tu. Kwaiyo iyo pesa ni kama posho tu sio mshahara
 
Kwahiyo pesa aisee ni rahisi kuwapa milion moja wakagawana na mkapata penati za mchongo na maisha yakaendelea na bado tukamuita nabi professor
Kipindi Simba anashinda makombe Mara nne Napo mlikua mnahonga au
 
Umefanya analysis ya kipimbi sana!
 
Hakika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa siku, posho ziongezwe ili hao waamuzi wachezeshe kwa weredi, na pi kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Laki 5@mechi siyo mbaya.
Wakiongeza posho sisi yanga tutashindwa kuwahonga na kukosa ubingwa
 
Wakiongeza posho sisi yanga tutashindwa kuwahonga na kukosa ubingwa
Kama tuna uwezo wa kuihonga mpaka simba na wachezaji wake, na mwisho wa mechi tunashinda! Ndiyo tushindwe kwa hao marefa, kisa tu wameongezewa pisho!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…