LGE2024 Posho za waliosimamia Uchaguzi zalipwa kupitia simu za watendaji, ila 'wanahakiki' kabla kutuma

LGE2024 Posho za waliosimamia Uchaguzi zalipwa kupitia simu za watendaji, ila 'wanahakiki' kabla kutuma

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Ingetokea Leo kibaka YOYOTE mzoefu popote ulipo akakwapua simu ya mtendaji wa kata Leo angepiga bingooooo.

Leo ndo Leo wale wote walioshiriki kusimamia uchaguzi wa serikali ya MTAA ULIO ipa ccm ushindi asilimia 99 walikuwa wanapata mema ya nchi kutoka tamisemi.

Je, umejifujza Nini kwa uchaguzi iliyopita?
 
CCM ni laana. Tanzania bila ya CCM, inawezekana. Kataa CCM, kataa uonevu.
 
Nimejifunza kuwa kama ccm isingepita yamkini wasingepata stahiki zao
 
Back
Top Bottom