Hakika mkuu, ngoja tuoneHizo ni porojo tu za kwenye media ili kutetea ajenda yake.
Au ndio kujisafisha machoni pa walalahoiSio rahisi kufuta Posho zilizowekwa kisheria.
Mfano unawezaje kufuta posho ya safari (Per-diem) ili hali unajua Mtumishi hana nyumba wala hotel ya yeye kwenda kula na kulala bure awapo na safari ya kikazi.
Vinginevyo labda kuwe na hotel za watumishi kila Mkoa na Wilaya za wao kwenda kula na kulala bure kila wanapokuwa na semina maeneo hayo.
Anajaribu kujisafisha kwa walalahoi ili hali ni juzi tu hapo yeye mwenyewe amejilipa posho ya 300,000 kwa siku alipokuwa Bungeni akihitimisha Bajeti yake ya Wizara ya Fedha!Au ndio kujisafisha machoni pa walalahoi
AmeropokaJana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley:
Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda"
Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote za watumishi na viongozi ili fedha hizo zikafanye shughuli za maendeleo"
Je, hili swala linawezekana kweli au ni kwenye media tu.
Ni posho gani zilizofutwa na serikali?
Uliona wapi mtu mwenye akili timamu akichora mawe mjini kama ana PhD? Alichokisema potezeaJana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley:
Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda"
Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote za watumishi na viongozi ili fedha hizo zikafanye shughuli za maendeleo"
Je, hili swala linawezekana kweli au ni kwenye media tu.
Ni posho gani zilizofutwa na serikali?
Tanzania bado sanaAnajaribu kujisafisha kwa walalahoi ili hali ni juzi tu hapo yeye mwenyewe amejilipa posho ya 300,000 kwa siku alipokuwa Bungeni akihitimisha Bajeti yake ya Wizara ya Fedha!
Unafiki umetujaa Wananchi wa kawaida hadi ViongoziTanzania bado sana
Watanzania sio mazezeta. Kama kuna posho zimefutwa itakuwa kwa watumishi wadogo wadogo tu.Hii michwa(mchwa)bado ina utitiri wa posho. Posho za mafuta ya gari, vocha za simu,nyumba, vikao, safari za kikazi, posho za makalio(sitting allowances),kwa kutaja baadhi tu. Hebu wajaribu kuishi kama watumishi mfano walimu ambao hutegemea mshahara kwa 100%.Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley: