Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 278
Mzimu posho ni hatari. Wabunge wanaohudhuria mkutano kwa kusaini huwa wanalipwa 10,000/=. Sasa juzi wapo ambao hawakuingia kikao, lakini waliomba wasainiwe. Ubaya listi hiyo imetumika kuwafukuza wote ambao walisaini, kwamba walipisha mgomo, kwa authority ya signature zao. Elfu kumi hiyo.