Poshy Queen amkana Dj Seven

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mwanadada mrembo Poshy Queen ameandika maneno yanayoonekana ni kama kumkana aliewahi kuwa Mpenzi wake Dj Seven.



Poshy amedai kuwa Seven alikuwa ni rafiki yake na hakuwahi kuwa Mpenzi wake kama jinsi watu wanavyosema.

Poshy kwasasa ni Mpenzi wa Mwanamuziki Harmonize, ambae alikuwa ni Boss wa Dj Seven.

Written by Mjanja M1
 
Kwahiyo Mkuu picha ndo imeshindikana kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ