Poshy Queen awajibu wanaoandama shepu yake

Kumiliki au kuwa na Mwanamke kama huyo ni kujipa stress na kujitakia magonjwa kama blood pressure na mengineyo [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Mrs Van sema zaidi kule siasani. Mahips yakiwa ni original bomba sana lakini haya ya mchina yanaweza kuporomoka.

Wanaume tunapenda vitu original si hivi FAKE FAKE mkituelewa hamtahitaji kusumbuka kihivyo.

Mahips hayo yataanguka soon. Sema wanaume ndio mnafanya wanawake tuhangaike

Mie mzima BAK sijakuona siku mbili tatu
 
Alikuwa na jamaa yake sijui njemba kasepa? Maana alikuwa akiandika kama yuko na mtu sasa hivi anaandika kama yupo yupo. Njemba imejilia kisha ikakata kona.

Kumiliki au kuwa na Mwanamke kama huyo ni kujipa stress na kujitakia magonjwa kama blood pressure na mengineyo [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Mrs Van sema zaidi kule siasani. Mahips yakiwa ni original bomba sana lakini haya ya mchina yanaweza kuporomoka.

Wanaume tunapenda vitu original si hivi FAKE FAKE mkituelewa hamtahitaji kusumbuka kihivyo.
Ngoja nitakutafuta huko siasani nione ukipambana na wadhalimu.

Hahahaa labda aliona before mnawashobokea wenye figure matata akijiangalia yeye flat akaona atadoda. Mngependa wanawake wote bila kubagua yasingetokea hayo
 
Reactions: BAK
Iko kiuno km nyigu wallah!kuna watu wanafaidi sana hapa duniani,ngoja niendelee kutafuta hela tu usawa huu!
 
Ni kweli aisee sasa imekula kwake bila ya shaka anatamani kuyapunguza maana imeshakuwa kero lakini hana jinsi.

Wadhalimu napambana nao sana maana wanatuharibia nchi yetu na kuanza kufananishwa na Burundi/Congo etc

Nchi yetu ilijulikana kwa mema duniani sasa inaanza kujulikana kwa mabaya.

Ngoja nitakutafuta huko siasani nione ukipambana na wadhalimu.

Hahahaa labda aliona before mnawashobokea wenye figure matata akijiangalia yeye flat akaona atadoda. Mngependa wanawake wote bila kubagua yasingetokea hayo
 
Hilo ta.ko kama hatoi tigo tusipotezeane muda, ila huyo kuruka ukuta kama kawa..
 
Nikushauri usijifariji kwa kujilinganisha na wengine kwa kudhania kwamba eti hawana hela..jambo usilolijua litakusumbua sana...pesa ipo tena nyingi na mashine za ukweli kama hizi zinaliwa vizuri kabisa ..
Matako bila hela ni mbio za sakafuni tu, atafute shughuli ya maana, wanyalugusu wenyewe wote vyuma vimekaza sasa hivi nani atanunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi anao tatizo nilipotaka kuwekeza,kwenye lile bonde utafiti ukaonyesha kipindi cha Mvua Maji yanajaa sana Bondeni..

Tukahamishia mradi kwenye Bonde Oevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…