Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Chukua rangi unayotaka naja lipia mkuu!!!Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la kheri na mafanikio Jacq[emoji7]
View attachment 1018366View attachment 1018367
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu.. Nachukua ile ya kijivujivu yene lining nyeupeChukua rangi unayotaka naja lipia mkuu!!!
Mkuu hio kwa jinsi navyoiona haitakufuti vizuri, utainyanyasa sana!!!Hahaha mkuu.. Nachukua ile ya kijivujivu yene lining nyeupe
Has [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hio kwa jinsi navyoiona haitakufuti vizuri, utainyanyasa sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
Mama mzaa chema..Chagua basi na wewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
Iyo nyeupe chini ambayo ni kubwa kuliko zote yenye lining flani ya ka upurple mkuu
Iyo nyeupe chini ambayo ni kubwa kuliko zote yenye lining flani ya ka upurple mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,kauze afu uishie jela mkuuHapo nyuma
sasa huo mkia
wa pweza
sio poa aisee..
unaeza uza
uwanja wa sheikh
Amri abed asee
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]