Kumbe ndo wewe! Hongera bibie!Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la kheri na mafanikio Jacq[emoji7]
View attachment 1018366View attachment 1018367
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara matangazo bossHer photo can tell.... Hakupaswa kujiweka hivyo sasa hapo anaonesha duka gani mojawapo?
Jr[emoji769]
Her photo can tell.... Hakupaswa kujiweka hivyo sasa hapo anaonesha duka gani mojawapo?
Jr[emoji769]
Hapo naona maduka mawili, ni lipi hasa linazungumziwa?
Wanawake tuna matatizo sana jamani [emoji23][emoji23]
Ana vikorokoro vingine ila majority ni chupi..Duka zima anauza bukta pekee?
Huyo anaweza kukutajia milion.. Shauri yakoAweke DAU la MCHINA Huo Watu tujisevie.
Wanawake tuna matatizo sana jamani [emoji23][emoji23]
Ooh!Sorry kumbe ni chupi hizo?Mimi nimezoea kuvaa msuli na bukta ndiyo nikafananisha.
Asa hcho kitambaa kikikutana na joto la dsm hali inakuwaje
Ooh!Sorry kumbe ni chupi hizo?Mimi nimezoea kuvaa msuli na bukta ndiyo nikafananisha.
Asa hcho kitambaa kikikutana na joto la dsm hali inakuwaje
Hapana mkuu.Mimi huwa napigilia bukta,kanzu,kizibao na mguuni talawanda.Nikivaa chupi ntajisahau wakati wa kutoa pesa.Mambo yatakuwa shida tafrani.
Hahahahahaa Hata SANCHI WODI hajafikia hiyo BEI.