Moja ya gazeti la kiswahili la tarehe 15 Mei, 2013 limetoa tangazo lililosomeka "POSITION VACANT" pamoja na kuweka sifa kedekede za mtu mahiri wanayemtaka aiongoze shule hiyo mpya inayotarajiwa kuanza muhula wa masomo hapo baaade mwakani.
Naomba mnisaidie tuisadie wizara yetu ya elimu, je ni sahihi tangazo hilo lifiche jina la shule? je, ni sahihi tangazo hilo kutumia anuani ya barua pepe iliyosomeka; headteachertz@gmail.com ? ya S.L.P. 4360 DAR ES SALAAM, LAKINI SHULE IPO CHALINZE na imefichwa jina, yaani tuseme shule makini haina email yenye kujitegemea kwa maana mfano org, or.tz, au yeyote ile yenye kuitambulisha na badala yake inadandia anuani za barua pepe ambazo wengi wa wa JF humu pia hufungulia email zao kwa kutumia hizo za mfano wa gmail.com, yahoo.com etc?
Ninahisi shule hii haiwezi kuwa makini hata siku moja katika suala zima la elimu na mustakabali wake.:disapointed: