Positive hubby is needed

rishamom

New Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
2
Reaction score
21
Helo diaz,

Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian.

Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come.

Nyie upweke unatesa aisee, uwiii!
 
Helo diaz,mma wa 32yr 1 kid, gvt woker &mjasiriamal,sukuma &christian ,natafuta mwanaume alie serious na maisha mwenye hali kama hiyo,ambae yupo interested plz come,,,,,nyie upweke unatesa aseee huwiii
Kwa nini ulikuwa hunambii siku zote hizo. Tazama sasa mwenzio kanikamata.
 
Helo diaz,mma wa 32yr 1 kid, gvt woker &mjasiriamal,sukuma &christian ,natafuta mwanaume alie serious na maisha mwenye hali kama hiyo,ambae yupo interested plz come,,,,,nyie upweke unatesa aseee huwiii
Pole kwa upweke
 
Kwani lazima +?? Si unatumia dawa... Kama ndio tuyajenge tu
 
Kuwa makini humu watu hawana bhudugu bho gugulu na nkono, mbilizi ilendelile hiyene iyagulya mbiyu. Gubisa mhulu na bhayanda ugusanga jajukulagwa.
 
Una shape nzuri? Yaani hips na makalio? Tuwasiliane private please kama upo hivyo. Mengine hayana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…