Positive hubby is needed

Helo diaz,
Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian.

Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come.

Nyie upweke unatesa aisee, uwiii!
Tuweke wazi hapa Kwanza. Baba wa mwanao Yuko wapi na anashiriki vipi juu ya malezi ya mwanae. Kuwa +ve sio issue Bali commitment.
 
Tuweke wazi hapa Kwanza . Baba wa mwanao Yuko wapi na anashiriki vipi juu ya malezi ya mwanae. Kuwa +ve sio issue Bali commitment.
Labda atakuwa kashadedi. Acha woga kijana kama umekidhi vigezo na masharti, jimbo liko wazi.

Punguza maswali kwenye mambo serious ya kujamiiana
 
Nishaunga folen pm[emoji846][emoji846][emoji846] Wakuu andaeni michango kabisa mambo yakijipa mwezi wa 12 tunamaliza kazi

Mwenyewe nimechoka kuwa bachela dah[emoji58][emoji58][emoji58]
 
Mtoto ana umri gani? Baba yake yupo wapi? Naweza kumuasili mtoto (adopt)? Upo Dar? Tukianza huu mwezi unaokuja October je upo tayari kuona kama tuna match hadi April-June mwakani ndio tutangaze nia official?

Asante
 
Nishaunga folen pm[emoji846][emoji846][emoji846] Wakuu andaeni michango kabisa mambo yakijipa mwezi wa 12 tunamaliza kazi

Mwenyewe nimechoka kuwa bachela dah[emoji58][emoji58][emoji58]
Ukishindwana naunga mimi mkuu.
 
Mleta uzi hata hana muda na thread yake,hayo maswali inabidi mmuulizie huko PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…