Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau mbna kimya? Nao naomba possible, nackia pepa limevuja!
Mdogo wangu kweli wewe ni bongo lala, haiwezekani kuja kwenye Jukwaa la heshima kama hili na kutangaza ukilaza wako. Naomba upeleke kule Fb haraka sana, peleka kabla hatujakupeleka kwa Mods..
inbox c zpo?
Kwan nin kbaya? Mi nimeomba pocble kwan nin kbaya hapo? Uknambia kutakuwa na dfn ya hstory kwan cyo pocble? Achen ukilaza bhana mbna ma great thnker nyie, kwann unireport kwa mod...njo nipe sababu ya mm kupgwa burn cyo kunitsha mkuu
sasa mdogo wangu unasoma saa ngapi na unapata muda kupigizana kelele na watu huku?
Wadau mbna kimya? Nao naomba possible, nackia pepa limevuja!
Wadau mbna kimya? Nao naomba possible, nackia pepa limevuja!