Possible form four necta

Rasib

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
395
Reaction score
45
Wadau mbna kimya? Nao naomba possible, nackia pepa limevuja!
 
Mh! We sema hauna? Ongea vzur usaidike!
 
Mdogo wangu kweli wewe ni bongo lala, haiwezekani kuja kwenye Jukwaa la heshima kama hili na kutangaza ukilaza wako. Naomba upeleke kule Fb haraka sana, peleka kabla hatujakupeleka kwa Mods..
 
yani mie nikiona tu uzi unaanza na pocbo hata sihangaiki, yani mtu utupiwe pocbo hapa!? kwenye public kama ivi!? itakuwa maajabu!!! yale mambo huwa ni kwa siri sana
 
Kwan nin kbaya? Mi nimeomba pocble kwan nin kbaya hapo? Uknambia kutakuwa na dfn ya hstory kwan cyo pocble? Achen ukilaza bhana mbna ma great thnker nyie, kwann unireport kwa mod...njo nipe sababu ya mm kupgwa burn cyo kunitsha mkuu
 
yani mie nikiona tu uzi unaanza na pocbo hata sihangaiki, yani mtu utupiwe pocbo hapa!? kwenye public kama ivi!? itakuwa maajabu!!! yale mambo huwa ni kwa siri sana

inbox c zpo?
 
Mdogo wangu kweli wewe ni bongo lala, haiwezekani kuja kwenye Jukwaa la heshima kama hili na kutangaza ukilaza wako. Naomba upeleke kule Fb haraka sana, peleka kabla hatujakupeleka kwa Mods..

we ndo bongo lala! Unatokwa na bov 2! Kwa mod kuna nin? Mi nimeomba pocble i thnk u do knw wats da meaning of pocble and that y am saying u ar bongo lala mkuu!
 
Kwan nin kbaya? Mi nimeomba pocble kwan nin kbaya hapo? Uknambia kutakuwa na dfn ya hstory kwan cyo pocble? Achen ukilaza bhana mbna ma great thnker nyie, kwann unireport kwa mod...njo nipe sababu ya mm kupgwa burn cyo kunitsha mkuu

Halafu jifunze kuandika na kutumia maneno vizuri
 
sasa mdogo wangu unasoma saa ngapi na unapata muda kupigizana kelele na watu huku?

Ana muda wa kusoma basi!? mwenzio kakesha JF apate possible, yaani hili taifa lilipofikia!? divine intervention is a must, otherwise I fear for my country!
 
hupati pocbo hapa, na paper itakupa za uso na utafeli coz ndo nyie maisha yenu mmeyaseti kwenye milungura kuanzia shuleni, kupata kazi n.k. m2 kama ww ukisimama na mm kwenye presentation hata huko mbelen hufui dafu coz hutakuwa na k2 kichwan isipokuwa unategemea wizi wizi tu.
 
cjawahi ona kilaza kama wewe enzi hizi unaomba pocble, daah we ushafeli ndo nyie mnaandka bongo fleva na kuchora pcha za wachezaj, ebu nenda kasome uko acha uboya wako allaaaa!!
 
Kumbe hata vitoto humu vimo?.....au ni Mwigulu Nchemba huyu?
 
Aaaaaaaaaaaaa kumbe ni mbunge wa Mtera aliyeandika thread hii basi yaishe!
 
Wadau mbna kimya? Nao naomba possible, nackia pepa limevuja!

mkuu sio siri umepotea!!! yani miaka minne unasoma tuuuu afu leo unataka possible??? ivi kweli nchi hii inaenda wapi?? badala ukae utulie usome unakuja humu jf kuomba pepa???? kijana embu nenda kajipange huko...na kama unategemea possible mkuu nakuonea huruma.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…