Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Wakuu habari,

Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa.

Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko!

Ahsanteni
 
Jmn mwezetu kauliza,kwa ambao mmefanya usaili leo mtupe mwanga kidogo,,,,,,,sharing is caring
 
Wakuu habari,

Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa.

Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko!

Ahsanteni
Explain about your self
Differences between data and information
Swali la tatu sikumbuki vizuri lakini lilikuwa lina na maana ya kuwa kama computer haitafanyiwa maintanance kwa wakati kutakuwa na matokeo gani
 
Ahsante sana boss
 
Mimi kesho. Maswali ni yapi? Lugha ni ngeli mwanzo mwisho?
Na Mimi ni kama Wewe Tu Bado Lakini Kuna Wadau Niliwacheck ambao tayari wamefanyiwa usahili wanasema Kuwa ni maswali ya Kawaida Sana
Mfano
Difference between data and information
Describe the concept of CPU
Define Cache
Explain four functions of operating system
Yan Kwa kifupi wewe komaa na notes za fundamental of computer au Computer application ni module ya kwanza ya semester ya kwanza ya Mwaka wa Kwanza Kwa Watu wa IT na Computer Science huwa wanasoma
NB: Lugha Ni Kiingereza Mkuu Mwanzo Mwisho.
Ni Hayo Tu Mkuu.
 
Back
Top Bottom