John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Explain about your selfWakuu habari,
Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa.
Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko!
Ahsanteni
Ahsante sana bossExplain about your self
Differences between data and information
Swali la tatu sikumbuki vizuri lakini lilikuwa lina na maana ya kuwa kama computer haitafanyiwa maintanance kwa wakati kutakuwa na matokeo gani
Sawakila mtu ashinde mechi zake
Kwani mkuu usaili wako lini? Wengi tumefanyiwa usaili leoWakuu
Mimi kesho. Maswali ni yapi? Lugha ni ngeli mwanzo mwisho?Kwani mkuu usaili wako lini? Wengi tumefanyiwa usaili leo
Na Mimi ni kama Wewe Tu Bado Lakini Kuna Wadau Niliwacheck ambao tayari wamefanyiwa usahili wanasema Kuwa ni maswali ya Kawaida SanaMimi kesho. Maswali ni yapi? Lugha ni ngeli mwanzo mwisho?