post graduate diploma in education vs postgraduate dip in social work

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
wadau naomba ushauri,nipo katika mazingira ambayo naweza soma chuo kikuu huria tu(OUT)..pia nataka nisomo kozi kati ya hizo hapo juu kwa ngazi ya postgraduate diploma,lkn sijui ni ipi itakayo niwezesha kusoma easily ukizingatia sina mtu wa kudiscuss nae.
pia urahisi wa kupata materials..nia yangu ni kuongeza cheti tu..ipi kati ya hizo ipo vizuri?
 
Wanakuja wajuzi wa mambo
 
Mkuu, ningeshauri ila hapo kwenye "Red and Underline" binafsi pamenikatisha tamaa! Ngoja Wajuzi na Wazoefu waje!
 
mkuu lzm niseme ukweli bse nataka niongeze maarifa...sio kwenda kusaka ajira kwa kipindi hiki.nalazimika kusoma hayo masomo sababu sitaki kukaa idle.nipo ktk mazingira ambayo nafanya kazi kwa muda mfupi sana,muda mwingi unapotea bure tu,so ningepata ushauri kozi ya kusoma kati ya hizo ingenisaidia kuwa busy kiana..
nafanya kazi mara tatu kwa wiki tu...kila siku masaa saba..
 
ungeongeza kufunga mkanda kidogo mkuu usomee masters ya social work, postgraduate siyo issue kabisa labda kama hauna sifa za kujiunga na masters
 
poa mkuu,nimekusoma nitaufanyia kazi ushauri wako
 
mkuu lzm niseme ukweli bse nataka niongeze maarifa...sio kwenda kusaka ajira kwa kipindi hiki.nalazimika kusoma hayo masomo sababu sitaki kukaa idle.nipo ktk mazingira ambayo nafanya kazi kwa muda mfupi sana,muda mwingi unapotea bure tu,so ningepata ushauri kozi ya kusoma kati ya hizo ingenisaidia kuwa busy kiana..
nafanya kazi mara tatu kwa wiki tu...kila siku masaa saba..

sasa huo muda unao sema unapotea bure si ni bora utafute kaeneo uanzishe mradi utakao kuweka bize na kuongeza kipato tu kuliko kung'ang'ania hivyo vi certificate.
 
mkuu lzm niseme ukweli bse nataka niongeze maarifa...sio kwenda kusaka ajira kwa kipindi hiki.nalazimika kusoma hayo masomo sababu sitaki kukaa idle.nipo ktk mazingira ambayo nafanya kazi kwa muda mfupi sana,muda mwingi unapotea bure tu,so ningepata ushauri kozi ya kusoma kati ya hizo ingenisaidia kuwa busy kiana..
nafanya kazi mara tatu kwa wiki tu...kila siku masaa saba..

Mkuu samahani, nilikuwa sijakusoma. Hii ni kwa sababu Jukwaani tupo wa aina-aina! Ninaimani utapata msaada wa kutosha kwa Wadau wenye ufahamu. Hata hivyo kwenye Kiingereza kuna neno "hunch". "Hunch" yangu inanipelekea kukushauri uchukue "Social Work"! Naomba usinidai "justfication" - ni "hunch"!

Kwa nyongeza kutokana na baadhi ya michango hapo juu, tusome kuongeza maarifa na siyo kutafutia ajira za kuajiriwa. Tusoma kujiajiri! Niliwahi kuona huu usemi katika Kingereza sehemu siku za nyuma - "Education is supposed to widen one's scope of thinking". Hivyo, hata ukisoma PGD - Social Work na ukajikita kwenye Kilimo cha Nyanya, ni poa tu!

Pasaka njema!
 
wadau naomba ushauri,nipo katika mazingira ambayo naweza soma chuo kikuu huria tu(OUT)..pia nataka nisomo kozi kati ya hizo hapo juu kwa ngazi ya postgraduate diploma,lkn sijui ni ipi itakayo niwezesha kusoma easily ukizingatia sina mtu wa kudiscuss nae.
pia urahisi wa kupata materials..nia yangu ni kuongeza cheti tu..ipi kati ya hizo ipo vizuri?

mkuu nahisi wewe umesoma but i pity you that til a moment hujui unachokifanya eti unataka uongeze cheti ili viwe vingi au?
 
Back
Top Bottom