Post graduate diploma na kupangiwa kazi

Post graduate diploma na kupangiwa kazi

IDyangu

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
99
Reaction score
22
Naombeni msaada wa kujuzwa kama mtu akisoma postgraduate diploma ya education, anaweza kupangiwa kituo cha kazi katika shule za serikali mara baada ya kuhitimu masomo yake? Kama wanavyopangiwa wa degree, diploma na wengine.Na kama wanapangiwa, ni taratibu zipi zakufuata ili apangiwe. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Ndiyo wanapangiwa kama ambavyo wale wa degree wanavyopangiwa, wote kwa pamoja hupangwa kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom