Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa juu ya chuo nachoweza soma post graduate diploma of law na sifa stahiki za kujiunga na kozi hiyo. Na je,kozi hiyo inaweza kunifanya kuwa wakili wa kujitegemea?Nitashukulu!
Law school of Tanzania wana award postgraduate diploma in legal practice, lakini kigezo cha kujiunga pale ni lazima uwe na degree ya kwanza ya law, yaani LLB. Ukifaulu hiyo postgraduate diploma, unaapishwa kuwa advocate.