Post graduate diploma!

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
379
Reaction score
165
jaman wadau mwenye info za kutosha kuhusu pgd ya monitoring and evaluation pale coet ,je wana enroll mwez wa ngap? Na ada yao ni bei gan? Na wasilisha wakuu!
 
umecheki kwenye website? aisee,sikujua hii makitu inapatikana,unistue na mie basi (tukitoka class ntakua nakupa ofa ya nyagi dry kila furahi dei eeh)
 
umecheki kwenye website? aisee,sikujua hii makitu inapatikana,unistue na mie basi (tukitoka class ntakua nakupa ofa ya nyagi dry kila furahi dei eeh)

Nimechek king'ast,ila cjaona info zozote up to nw! Ebwnae mwendo wa nyagi 2 hahaha king'ast bwana!sawa
 
Hivi pgd na advance diploma bado zinatambulika kwenye soko la ajira kwa sasa?
 
pgd ndio zinatambulika!ila advanced dip czan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…