Post graduate ya diploma

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Kuna dogo kamaliza diploma ya ualimu, anaulizi kipi bora kati ya post graduate ya diploma au degree? Na post graduate ya diploma inachukua muda?
Wanaojua hii faculty wamsaidie dogo au kwa yeyote anaejua anaweza toa mchango.
 
Unajua maana ya Postgraduate diploma? ni mafunzo yanayotolewa baada ya shahada ya kwanza, haiwezekani kusoma postgraduate kama huna shahada ya kwanza.
 
Hawezi kusoma PGD mpaka awe na shahada ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…