elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
ndugu wanajamvi naulizia kama mtu anayechukua post graduate diploma ya education anaweza pata mkopo toka loan board.na je kama hawezi pata huko ni taasisi gani nyingine au mtu binafsi anayeweza kuchukua dhamana ya kumkopesha mtu either kwa kuweka kiwanja au dhamana yeyote.nawasilisha changia kwa hekima umsaidie kijana mwenzio.HAYA NI MAISHA