Post graduate ya education kumbe unaweza pata mkopo toka loan board

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
ndugu wanajamvi naulizia kama mtu anayechukua post graduate diploma ya education anaweza pata mkopo toka loan board.na je kama hawezi pata huko ni taasisi gani nyingine au mtu binafsi anayeweza kuchukua dhamana ya kumkopesha mtu either kwa kuweka kiwanja au dhamana yeyote.nawasilisha changia kwa hekima umsaidie kijana mwenzio.HAYA NI MAISHA
 
si mlikuwa mnadharau wanaosomea ualimu??baki huko huko na kozi yko ya social security mamaeee.......PGD haina mkopo
 
Topic yako umeandika kama una uhakika sio kwamba unaulizia.
 
Lipa kwanza deni la mwanzo ndio tukukopeshe tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…