Post graduate ya education yawa kimbilio

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
ukifika chuoni enzi hizo,watu wali wa dis value watu wanaofanya course ya education matokeo yake wamemaliza vyuo wamerudi kuomba PGDE.
 
Kitaa kigumu pesa hakuna watu wanafanya kazi ilimradi wapaye hela na sio kwaajili ya proffesional zao
 
Ukishafanya PGDE ndio unapata kazi?
 
Kweli aisee tulikudis huko, ila sasa wandugu mambo magumu , mim mwenyewe nina mpango wa kwenda huko.
 
Siku hizi watu wa PGDE hawaajiriwi, walimu wamejaa!
 
Mi mwenyewe nina mpango huo. Mwisho wa kupokea application UDOM ni lini?
 
Ha ha ha,alafu ukiwakuta vyuoni hao wanaosoma sijui bcom,economics au law wanavoringa,kumbe mtaani njaa kali.
 
ukifika chuoni enzi hizo,watu wali wa dis value watu wanaofanya course ya education matokeo yake wamemaliza vyuo wamerudi kuomba PGDE.
Hata sisi enzi zetu tulidhani tunaochukua kozi za Sayansi - Uhandisi UDSM nk ndiyo watakuwa na maisha mazuri. Kinyume chake Wanaosomea Sociology Sinza Shekilango na wale wa CBE/IFM ambao tuliwadharau ndiyo wamekuja kuwa Watawala wetu huku Maofisini, wanakula posho za vikao kila siku na kutuamulia vitu kwa niaba yetu.

Maisha hayapo vile tunavyofikiri bali jinsi muhusika unavyoweza kuyatafsiri katika uhalisia wake....
 
Kusoma PGDE bado si suluhisho la kupata ajira kwa sasa,
Walimu wengi wa Diploma na Degree hawakupangiwa ajira mwaka huu na mpaka sasa hakuna tamko lolote lililotolewa na Serikali.


Kingine,hata walimu walopata ajira mwaka hawajalipwa mishahara yao mpaka sasa ikiwemo na pesa za kujikimu na nauli kwa baadhi ya Halmashauri.

Swali la msingi,
Je,kama walimu waliogharimiwa na serikali maisha yote ya chuo Diploma na Degree hasa hawa wa Diploma yaani professional teachers hawajapata ajira,vipi ww mwenzangu ambaye si mwl by professional???

Tafakari na chukua hatua
 

Mkuu,vyuo vya ualimu kwa sasa vinaamishiwa Nacte...havitakuwa tena chini ya necta na wizara....so utaratibu mpya ni kwamba wanaajiri kuanzia post graduate ya education kuendelea yani haitakuwa kama mwanzo walichukua BED only,kwa ss ata BAed wanachukua na degree yoyote ilimradi ulipiga post ya education..ata salary yao ni kubwa nowadays tofauti na wazalendo wa secondary
 

Mkuu hatuko pamoja,
Nilichosema mimi ni kuwa kwa sasa unaweza soma hiyo Diploma,Bsc.Ed,BAED,BED au PGDE na usipate ajira kama ilivyotokea mwaka huu kwa wahitimu wengi wa mwaka jana.
Wengi wao mpaka sasa hawajapata ajira pamoja na serikali kutoa ajira hizo mwezi Machi.

Pia waliopata ajira mpaka sasa hawajalipwa Mishahara yao ya Mwezi April.

Hivyo kukimbilia PGDE bado si suluhisho la kupata ajira,
 
huna unachokijua acha blabla ,weka circular
 
Acha kitaa kitutie adabu!oh mie nasoma Masscom,Sociology kudadadek hata hela ya vocha niyakuomba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…