Nipo njia panda, nafikiria kusoma post graduate, naomba ushauri kati ya finance na procurement, ipi soko lake la ajira ni kubwa?
help please wana jf....
soma post procurement,post finance haina professional board Tanzania kwa hiyo utakuwa mtu wa kawaida tu,labda kama unataka soma MBA finance hiyo inasoko.
procurement utasota kutafuta ajira kama fani zingine lakin ukipata umaskini bye bye bye hao ndio wazee wa 10% na manunuzi yote ya umma yanafanywa na ww kwa kufuata procurement act kama huutaki ufisadi,