Post graduate ya ualimu

Post graduate ya ualimu

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,848
Reaction score
2,446
Wadau nimetafuta kazi mpaka nimechoka sasa, naombeni mnipe mwanga kidgo kuhusu post graduate ya Ualimu.

vipi hawa huwa wanapangiwa kama walimu wengine? kuna waliopangiwa kwa mwaka huu wa 2015?
ni chuo kipi wanatoa post graduate ya ualimu wa sayansi? mfano Maths n.k

mwenye mwangaza naombeni anijuze
 
Nimesoma post graduate udom na nimepangiwa kituo cha kaz ....ondoa shaka nenda kasome UDOM
 
Udom ipo vzur kuna watu nawajua wamesoma hapo ila ni shule ngum kdogo inaitaji uvumilivu sana
 
Wadau nimetafuta kazi mpaka nimechoka sasa, naombeni mnipe mwanga kidgo kuhusu post graduate ya Ualimu.

vipi hawa huwa wanapangiwa kama walimu wengine? kuna waliopangiwa kwa mwaka huu wa 2015?
ni chuo kipi wanatoa post graduate ya ualimu wa sayansi? mfano Maths n.k

mwenye mwangaza naombeni anijuze

Wapo na mifano ninayo ya kutosha, rafiki yangu kaajiliwa mwaka huu!
 
nenda kasome ndugu utapangiwa tuu...unaweza kwenda saut mtwara wanatoa kozi.. tumaini iringa nazani nao wanatoa pia cheki na vyuo vingine
 
Wadau nimetafuta kazi mpaka nimechoka sasa, naombeni mnipe mwanga kidgo kuhusu post graduate ya Ualimu.

vipi hawa huwa wanapangiwa kama walimu wengine? kuna waliopangiwa kwa mwaka huu wa 2015?
ni chuo kipi wanatoa post graduate ya ualimu wa sayansi? mfano Maths n.k

mwenye mwangaza naombeni anijuze

Kwani umesoma nn Mkuu?
 
Back
Top Bottom