wadau naomba kuuliza hii kitu post graduate ni kiwango gani cha elimu, unaingia ukitoka diploma au master au degree?
Kawaida unasoma kwa miaka mingap na ukitoka apo unaendelea na kiwango gani cha elimu? Anaweza kuchukua mwenye advanced diploma?
Naomba kuwasilisha mada...
post graduate t mins huna pasmark za kustdy LL.M...lyk weng wanataka 3.5,af we una 3.2 au 3.0..u must do p.graduate.. Ni 1 yr!
2)unaeza fanya P.G kama unatoka field nyngne na kuhamia field nyngne
au kuwa na diploma ya kawaida kwenda P.G?
unaweza fanya PG kama una digrii ya kwanza au Advanced diploma with some years of work experience!