Elections 2010 Post-Mortem: Kwa Nini Dr. Slaa Na CHADEMA Wameshindwa

JK kaiba kura nyingi lakini Dr Slaa ndiye mshindi.
- Kachukua miji yote muhimu chini
- Anakubalika na sehemu kubwa ya vijana wakiwemo wanavyuo na wanafunzi msingi, sekondari
 
To me naona mainly inaweza kutokana na hofu ya wananchi juu ya fujo ukizingatia watz ni waoga leading to low turn over na kuwaachia wanachama 5mill wa CCM kutamba na kupiga kura
On the other hand wizi wa kura ambao umefanywa na taasisi zetu
 
pamojha na yoote Mliyoyasema,
yupo adui mmoja wa CHADEMA ambaye alijiingiza mwishoni japo watu walimpuuza alitaka kupunguza kura zetu, huyu Ni Askofu sijui Mchungaji Gamanywa na Genge lake la watu wa Mungu kama wanavyojiita, kujidai kuikemea CHADEMA kutumia kampeni za Udini, huyu Mchungaji akiitumia Radio yake kwa vipindi vya jioni , nimewahi kusikia mara mbili, alikua waziwazi akitoa angalizo kwa watu juu ya hatari ya damu kumwagika kama kutakua na rapid changes katik aregime ya Taifa, kwakua Kikwete ni chaguo la Muungu wake.
kwakweli hawa watu ni maadui wakubwa wa WATANZANIA, wapenda mageuzi, na mabadiliko.
 

Mkuu hizo ndio political mathematics. CCM wanajua vizuri kutumia mbinu za kisiasa kupata ushindi, mbinu safi na chafu, ili mradi ushindi. Sio siri kwamba CCM wanatumia unyonge wa watanzania kujikusanyia kura. Ukiangalia walikopata kura nyingi ni kule kwenye watu waliochoka, au watu waliochoka zaidi ndio waliorubunika na kuwapigia kura. Ni mbinu ya kisiasa, inafaa CHADEMA nao waanze kutumia watu kama hao kwenye chaguzi zijazo ili kujipatia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…