ni baada ya ccm kujikanganya kwa kuleta watu ambao hawakubaliki majimboni kwa sababu wazijuazo wao.... example....JIMBO LA UBUNGO....NAPE ANGEPITA BILA MSUKOSUKO.........wakamwaga dogo nasi tukawamwaga....ikabidi kura yangu nimpe mtu ambaye yupo makini ...hivyo ndivyo ilvyokuwa.......MFANO MWINGINE NI HUKO KIBONDO-MUHAMBWE.....AMBAKO WALIMPITISHA MTU MCHAFU KISA TU NI NGOME YA CCM...WATU WAKAJIBU MAPIGO KWA KULIGAWA JIMBO........MY TAKE...... CCM IKIONDOA DOSARI HIZO......ITAJIZOLEA ZAIDI YA ILIVYOZOA...NA IKIENDELEZA UPUUZI HUU(wenyewe wanaita tofauti ndogo ndogo) HASIRA ZA UMMA ZITAWAANGUKIA