POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Habari zilizozagaa uswahilin hasa kwa wale wana0subiri P0ST wanasema pesa zilizo tengwa kwa ajiri ya kujikimu walimu wapya zimepelekwa wizara ya ulinzi kwa ajiri ya mafunzo ya JKT. je ni kweli?.
 
Si kweli hata kidogo,maana jana naibu waziri wa elimu ndg Philipo Mulungo alisema kuwa fedha ziko mbioni na ajira ni muda wowote,tatizo la fedha ni za kujikimu ila tayari limekamilika
 
Dalili zinaonesha nchi imeyumba;bajeti ilikuwa ya kwenye makaratasi tu ...
 
Nime2miwa ujumbe wa mkononi eti kesho(01/02/2013) wanaandamana kuanzia mwenge mpaka wizarani. hii inaonesha jinsi wamejeruhiwa.
 
Hawana lolote wanazingua tu, tangu waanze kusema kesho, wiki ijayo...imechosha. Hzi tetesi znaongeza stress tu kwetu!
 
Habari zilizozagaa uswahilin hasa kwa wale wana0subiri P0ST wanasema pesa zilizo tengwa kwa ajiri ya kujikimu walimu wapya zimepelekwa wizara ya ulinzi kwa ajiri ya mafunzo ya JKT. je ni kweli?.

Hata kama zimepelekwa huko ni kwa sababu ya uzembe wa Waziri wa elimu yaani yuko disorganized ukitaka kuthibitisha hilo soma hii
Wana jamvi najitokeza kutoa hoja hii juu ya umbumbumbu mkubwa uliooneshwa na ukada na ushabiki wa kizembe uliooneshwa na bunge letu hii leo asubuhi, wakati Mheshimiwa James Mbatia akitakiwa kuhitimisha hoja yake binafsi juu ya Udhaifu mkubwa uliopo katika sekta ya elimu nchini. Mheshimiwa James Mbatia kwa taarifa yake ametumia miaka kumi na nane kufanya utafiti na kuibuka na hoja hii binafsi, lakini cha kusikitisha hoja na utafiti wake vimepuuzwa na naibu spika Ndugai. Hii imethibitisha wazi kwamba nchi hii inaendeshwa bila kuwa na MTAALA RASMI kama alivyosema Mheshimiwa Mbatia kwa miaka yote hii. Taarifa za uhakika ni kwamba Mitaala rasmi ya mwaka 2005 iko katika hatua ya rasimu ambayo ilichapishwa mwaka 2012 yaani mwaka jana kwa maana hiyo kile ambacho waziri wa elimu anakiita mitaala rasmi ni rasimu ya mitaala hiyo na si mitaala yenyewe. Kwa kuanzia sharti tujiulize maswali haya; Hivi Elimu ya nchi hii tunaipeleka wapi (Waziri wz Elimu na Watendaji wake)? Hoja nzuri na ya msingi kama ya Mheshimiwa James Mbatia ni halali kuhitimishwa kiuzembe namna ile? Kwa nini waziri wa elimu hajalieleza bunge ukweli kuwa kilichopo ni rasimu ya Mitaala rasmi na si mitaala kamili? Hivi ni kweli nchi hii haina mitaala rasmi, kama ipo kwa nini wanaweka siri kubwa juu yake kwani kuna uozo gani huko kwenye hiyo mitaala? Hivi kuna ugumu gani uliomfanya waziri wa elimu kushindwa kuwasilisha mitaala hiyo bungeni kama alivyoahidi katika bunge lililopita? Kwa nini waziri ameshindwa kumkabidhi mtoa hoja japo ile mitaala miwili anayoionesha bungeni au hata kumkabidhi Naibu Spika au alishika vitabu vyake vya hadithi na kuvionesha juu kumbe si mitaala? Kama wanayo hiyo mitaala rasmi kwa nini wamegwaya kuileta bungeni tangu mwaka jana na wanaendelea kutoa ahadi kwamba italetwa kabla ya kabla ya bunge kuahirishwa tarehe 8? Kama waliahidi, hawajatekeleza tuwaamini vipi kwamba wataleta hiyo mitaala kabla ya tarehe 8/2/2013? Je, ahadi zao za Kijuha kama hizi wataendelea nazo mpaka lini kwani hata mheshimiwa rais JK mwenyewe ameingia katika ahadi hewa kwamba walimu wataajiriwa tarehe 13/01/2013 ahadi ambaya haijatekelezwa hadi leo au alimaanisha tarehe hiyo ya mwaka 2014? Uongo na uzembe huu mwisho wake lini? Hii nchi ni bora ya Giningi, Kusadikika na Kufikirika. Haya yanayoendelea ya kukumbatia uozo ni aibu kubwa na bomu lililolipuka tayari kwa matokeo mabovu katika mitihani yooote ya taifa. Unategemea huyo waziri ataweza nini?
 
Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati, Sikonge, Bumbuli, Korogwe, Mufindi, Ileje, Ndanda, Nachingwea, Rufiji, Kiberege, Mlimba, Mahenge. Huko kote nimepita hakuna walimu. Ila serikali ya mshua fastjet hawataki toa ajira. Huu ni upuuzi ulio pindukia.
 
Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati, Sikonge, Bumbuli, Korogwe, Mufindi, Ileje, Ndanda, Nachingwea, Rufiji, Kiberege, Mlimba, Mahenge. Huko kote nimepita hakuna walimu. Ila serikali ya mshua fastjet hawataki toa ajira. Huu ni upuuzi ulio pindukia.

Mkuu saf sana ...umejuaje sehemu zote hzo? Yan umetaja shule ilio kona moja huku niliko na kwel haina walim, kufaulu kwao ni Divsn 4...huyo ndo kichwa alaf walim 6 nitolee
 
hii ndio serikari ta ccm walimu mtagoja sana ajila maana hata ,la kufanya ni sahihi kwamba hamjii kawaulizeni mtwara wamefanya nini hatuwezi kuendelea hata siku moj kama tuta baki na serikari mbovu kama hii ya ccm,kuna uwezekano mkumbw kuwa psa imiliwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom