Habari zilizozagaa uswahilin hasa kwa wale wana0subiri P0ST wanasema pesa zilizo tengwa kwa ajiri ya kujikimu walimu wapya zimepelekwa wizara ya ulinzi kwa ajiri ya mafunzo ya JKT. je ni kweli?.
Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati, Sikonge, Bumbuli, Korogwe, Mufindi, Ileje, Ndanda, Nachingwea, Rufiji, Kiberege, Mlimba, Mahenge. Huko kote nimepita hakuna walimu. Ila serikali ya mshua fastjet hawataki toa ajira. Huu ni upuuzi ulio pindukia.
​unamuamini mulugo?si kweli hata kidogo,maana jana naibu waziri wa elimu ndg philipo mulungo alisema kuwa fedha ziko mbioni na ajira ni muda wowote,tatizo la fedha ni za kujikimu ila tayari limekamilika
NI miongoni mwa watu nisiowaamini hapa duniani,ana bahati naye yumoNaibu waziri wa elimu aka mpiga kinanda kaazi kwelikweli