Post wizara ya afya yanatoka lini,

Jben

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
70
Reaction score
1
Duh ushaul jaman maana nmechaguliwa ualimu, na me nipo interested na afya, nifanyaje jaman maana afya wanachelewa!
 
Da! kk ningependa uende kuripot ualim kabla 2rd selection hayajatoka japokua muda umekwisha zen unasubiria afya mi mwenyewe nipo ualimu na nasubria afya be carefuly ucje ukakosa kote au uende privet ni hayo tu mku!
 
kwa nini afya hawatujali? Wangekuwa wanawaisha post zao inaweka raia hati*2 wabadilike cz privet walisha atend
 
kwanini afya wana2fanya hvi jamani? Yani hawa2jal kabisa kwan mda unaenda halafu bdo kimya. Mafriend kama vp washkaj 2wasiliane na kujulishana kwa yote yotokeayo
 
wame apply wanafunzi elfu 20 na wao wanahitaji wanafunzi elfu 2 tu,.. Kwa hiyo wanaendelea kuchakachua kwanza!!
 
najua utakua umeshaenda elimu ila yametoka leo majina
 
Et wakuu ni kwel yametoka?niko njia panda hapa private reporting date n leo halaf wizara ya afya bdo hata celewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…