SANGI B Member Joined Sep 4, 2012 Posts 5 Reaction score 2 Sep 5, 2012 #1 Haya sasa wale waliomba nafasi katika vyuo vya kilimo ingia kwenye website ya wizara ya kilimo hapa www.kilimo.go.tz:flypig:
Haya sasa wale waliomba nafasi katika vyuo vya kilimo ingia kwenye website ya wizara ya kilimo hapa www.kilimo.go.tz:flypig:
M mwitu JF-Expert Member Joined Jun 22, 2012 Posts 856 Reaction score 200 Sep 7, 2012 #2 mbona hayafunguki jamani
nasssen JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 489 Reaction score 535 Sep 7, 2012 #3 yanafunguka banaa!
T tepho Member Joined Apr 6, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Mar 9, 2013 #4 Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe??
A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Mar 9, 2013 #5 tepho said: Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe?? Click to expand... sifa ni uwe na nguvu za kulima
tepho said: Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe?? Click to expand... sifa ni uwe na nguvu za kulima
chrisman49 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 352 Reaction score 77 Mar 9, 2013 #6 tepho said: Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe?? Click to expand... ni ufaulu wa 4 ya 28 kushuka chini,hawaconsidi sana masm ya sayansi hyo kw certfct!
tepho said: Naomba mtu anayefahamu vigezo vya kusoma chuo cha kilimo awe na sifa gan anifahamishe?? Click to expand... ni ufaulu wa 4 ya 28 kushuka chini,hawaconsidi sana masm ya sayansi hyo kw certfct!